SIRI ZILIZOKO WAKATI WA ASUBUHI
Apostle Mtalemwa Bushiri Apostle Mtalemwa Bushiri
100K subscribers
94,271 views
1K

 Published On Jul 11, 2021

THERE ARE SECRETS HIDDEN IN THE MORNING.
There are many things that God has closed in a certain time or season. In this lesson you will learn how the morning has many good things if you understand how to use it. Also in this lesson Apostle Mtalemwa explains FIVE IMPORTANT THINGS TO DO WHEN YOU WAKE UP IN THE MORNING.
Follow this lesson to learn more.

(Swahili)
KUNA SIRI ZIMEFICHWA KATIKA WAKATI WA ASUBUHI.

Kuna mambo mengi Mungu ameyafunga katika muda ama majira fulani.
Katika somo hili utajifunza jinsi asubuhi ilivyo na mambo mengi mema endapo utaelewa jinsi ya kuitumia.
Pia katika somo hili Apostle Mtalemwa anaeleza MAMBO MUHIMU MATANO YA KUFANYA UNAPOAMKA ASUBUHI.
Fuatilia somo hili upate elimu zaidi.

show more

Share/Embed