KKKT USHARIKA WA KISASA DAYOSISI YA DODOMA KWAYA YA UMOJA SIKU YA KANTATE DOMINO 2022
ROBERT NDENDYA ROBERT NDENDYA
352 subscribers
1,057 views
12

 Published On May 17, 2022

Siku ya Mwimbie Bwana Kantate Domino tarehe 15 May 2022. Pale usharika wa Ndzuguni, Jimbo la makao kuu Dayosisi ya Dodoma. Kwaya ya Umoja ya Usharika wa Kisasa, ni mwaka wake wa pili kushiriki Uimbaji wa namna hii. Asante Mwalimu Stanley Kaduma na Mwalimu Onyango kwa Kuwa waanzilishi wa kwaya hii na sasa imefikia hapo.

Kwa mawasiliano zaaidi, piga 0757183892 au [email protected]

show more

Share/Embed