Nyimbo za Roho Mtakatifu No 2
John Maja John Maja
25.7K subscribers
5,041 views
21

 Published On Premiered May 31, 2022

Ndugu zangu katika kristo Mungu ni Mwema kila wakati ni vyema kumshukuru Mara zote hakuna muda maalum wa kumshukuru kwa namna ya pekee nazidi kuwaalika kuutafakari ukuu wake kwa kualika Roho Mtakatifu maishani mwetu kwa kila Jambo jema tufanyaro kwenye Sala kwenye kazi kwenye masomo kwenye kilimo na sehemu mbalimbali wana kwaya wa Mtakatifu secilia mburahati tokea miaka ya 1993 walituandalia nyimbo nzuri Sana za Roho Mtakatifu zikitugwa na watunzi wabobevu wa nyimbo za Roho Mtakatifu karibu tuungane nao kutafakari zaidi

show more

Share/Embed