UPGRADED 2024| Swahili review- Kutoka kuwa msaidizi wa wasaidizi mpk mkurugenzi
Winani Brand Winani Brand
203 subscribers
2,046 views
0

 Published On Sep 22, 2024

Upgraded ni filamu ya marekani iliotoka mwaka huu wa 2024, ikiangazia maisha ya kijana Ana Santos, mwenye masters degree ya Art in history akipambana, kutafuta njia yake katika ulimwengu ambapo ajira imekuwa ngumu sana
...........
Wahusika
Camilla Mendes
Archie Renaux
Marissa Tomei
Fola Evans
Andrewn Schulz
................
Endelea kuwa mwanafamilia wa winani brand kwa kusubscribe katika chaneli hii, ili uwe wa kwanza kupata contents zang kila napozituma, usisahau pia kulike kucomment pamoja na kushare
..........
00:00-UFUNGUZI
00:10-WAHUSIKA
00:39-REVIEW
09:45-MWISHO
........
IG: @stephensonwinani
Tiktok: @stephenson_winani

show more

Share/Embed