Mbunge wa Geita Vijijini (CCM) Joseph Musukuma akieleza utajiri alionao wakati akiwajibu wanaosema kwamba amehongwa gari aina ya V8 ili atetee sakata uwekezaji kwenye Bandari.