INSIDE AN AMAZING 450,000 USD MANSION IN DAR ES SALAAM, TANZANIA!!!!! I HOUSE TOUR EPISODE 1
TZ LIVING TZ LIVING
144 subscribers
8,143 views
39

 Published On Nov 3, 2021

Karibu kwenye youtube channel yetu, leo tunatembelea nyumba ya ghorofa iliyopo Mikocheni kwa Mwinyi, yenye thamani ya dola laki 4 na nusu, bei ni negotiable kwa wateja serious.
Ni ghorofa la kisasa lenye vyumba vinne vyote self contained na chumba cha ziada cha msaidizi wa kazi.
Ina ukubwa wa sqm 500 na ni mita 50 tu kutoka barabarani.
kwa maelezo zaidi au kama unataka kununua wasiliana na dalali Dani kwa namba ya simu 0688 182 545 au mfollow on instagram kwa @dalali_dan_mbezi_beach
Follow @luccie_joseph
Follow @charlz_nation

show more

Share/Embed