NILIKOSEA MLANGO NIKAINGIA OFISINI KWA RAIS-SINGO
Daily News Digital Daily News Digital
224K subscribers
208 views
6

 Published On Premiered 3 hours ago

DAR ES SALAAM: MTENDAJI Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Kadari Singo amewafanya washiriki wa hafla ya uzinduzi wa kitabu cha maisha ya Sokoine kuangua kicheko aliposimulia namna alivyokosea ‘njia’ na kujikuta katika ofisi ya Rais Samia Suluhu Hassan badala ya Makamu wa Rais Dk Philip Mpango.

Singo amesimulia kuwa wakati akielekea kwa Makamu wa Rais alifika sehumu aliyokuwa ameelekezwa kufika, hata hivyo kukuwa alitakiwa kuacha simu getini aliendelea hadi sehumu ya ofisi ya rais bila kujua atamkuta Rais Samia.

“Tulivyo ingia hatukujua cha kusema … tulikuwa tumesha chelewa na Rais Samia alitusaidia kumpigia simu Dk Mpango kuwa alituita wakati tukielekea kwake,” amesema Singo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha aliyekuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Sokoine.

Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo:   / spotileo-176.  .
HabariLeo:   / habarileo  
DailyNews:   / dailynewstz  

INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...

TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

show more

Share/Embed