JINSI YA KUTENGENEZA SKONZI/ SCONES | Easy way to MAKE BUNS for beginners
Cooking With Tina Cooking With Tina
89K subscribers
48,174 views
267

 Published On Sep 23, 2018

Katika video hii nitaonyesha jinsi ya Kutengeneza skonzi za ufuta. Skonzi ni mikate midogo inaweza kuwa katika umbo la duara au umbo la mraba. Itategemea na wewe unavyo penda, katika video hii nimetengeneza za umbo la duara.


Mahitaji
Unga vikombe 4 1/2
Samli/ butter 1/4 kikombe
Hamira kijiko 1 1/2 kikubwa
Mayai 2
Chumvi kijiko 1 kidogo
Sukari vijiko 2 vikubwa
Maji 1/2 kikombe
Maziwa kikombe 1

show more

Share/Embed