Naibu wa rais apigia debe chama cha UDA kaunti ya Migori
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
5.25M subscribers
153,461 views
596

 Published On Sep 25, 2021

Naibu rais William Ruto amewahakikishia Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga kuwa hatawahangaisha iwapo atachaguliwa kuwa rais mwaka ujao. Ruto akiwa katika ziara yake ya kaunti migori, amewataka wawili hao kumuunga mkono kwani naye aliwaunga mkono katika chaguzi zilizopita.

show more

Share/Embed