Published On Apr 1, 2021
#kababuzasamaki #fishsticks #tunakebab #rukiaskitchen
Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen
Mahitaji:-
Slice za mkate 2-3
Majani ya giligilani/dania
Chumvi
Pilipilimanga kijiko nusu kidogo
Paprika kijiko kidogo
Maji ya limau/ndimu
Kitunguusaumu kijiko chakula
Tangawizi iliyosagwa kijiko chakula
Garamasala kijiko kidogo
Mayai 3
Tambi za vermicile
Samaki wa tuna wa mkebe 400g
English recipe press the link ➡️ Fish sticks | Tuna sticks kebab. • Fish sticks | Tuna sticks kebab | (Ra...
Mapishi ya Zanzibar channel ➡️ / modnalscooking
Kababu za kuku | Chicken fingers | Jinsi yakupika kababu za kuku kwa njia rahisi sana | Kabab . ➡️ • Kababu za kuku | Chicken fingers | Ji...
Fish sticks | Tuna sticks kebab. ➡️ • Fish sticks | Tuna sticks kebab | (Ra...
Mikate ya chila | Vibibi vya mchele | Jinsi yakupika vibibi vya mchele vilaini na vitamu. ➡️ • Mikate ya chila | Vibibi vya mchele |...
Katlesi za mayai | Kachori za mayai | Jinsi yakupika katlesi zenye mayai ndani . ➡️ • Katlesi za mayai | Kachori za mayai |...