JPM ‘alipomtwangia’ simu Jafo na kumtaka aanze safari ya kwenda Mkuranga
Azam TV Azam TV
2.77M subscribers
2,649,300 views
7.4K

 Published On Jul 30, 2020

“Ninataka kesho uje hapa…umenielewa…kesho ninataka uje Mkuranga, ufuatilie kero za kituo cha afya…ucheki hizo milioni 400 zimetumikaje…halafu umiambie wapi kwenye mapungufu…na wapi zimeliwa…” _ Rais Magufuli alipompigia simu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo na kumtaka aende Wilaya ya Mkuranga ili ashughulikie kero za huduma za afya wilayani humo.
#JPMMkuranga #JPMNaKeroZaWananchi #RaisMagufuli


Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM:   / azamtvtz  
►INSTAGRAM:   / azamsports2  
►TWITTER:   / azamtvtz  
►FACEBOOK:   / azamtvtz  
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

show more

Share/Embed