Magoli | Singida Black Stars 1-1 JKT Tanzania | NBC Premier League 29/09/2024
Azam TV Azam TV
2.76M subscribers
9,804 views
60

 Published On Sep 29, 2024

Singida Black Stars wamepata sare a kwanza kwenye ligi kuu msimu huu, wakikabwa koo na JKT Tanzania kwenye Dimba la CCM Liti mjini Singida....

Singida wametangulia kupata bao dakika ya 15 kupitia kwa Elvis Rupia, lakini JKt wakachomoa dakika ya 67 kupitia kwa Wilson Nangu.

JKT Tanzania pia walikosa penati dakika ya 46 kupitia kwa Hassan Dilunga,, ikiokolewa na golikipa Metacha Mnata....

show more

Share/Embed