MITANDAO YA KIJAMII 2024 - Mabadiliko, Kilichobora, Kinachokubalika.
Kona ya Teknolojia - Habari na Maujanja Kona ya Teknolojia - Habari na Maujanja
8.08K subscribers
51 views
2

 Published On Jun 20, 2024

Karibu Kona ya Teknolojia.

Leo fahamu yanayojiri katika nyacha ya Mitandao ya Kijamii 2024 (Social Media Landscape 2024).

Leo nitafocus kwenye mambo kadhaa;
(Transition to screen with text "Mitandao ya Kijamii 2024")
• Umaarufu wa Video Fupi (The Rise of Short-Form Video)
• Umuhimu wa Maudhui yenye uhalisia (The Importance of Authenticity)
• Utumiaji wa Mitandao ya kijamii katika kujenga jumuiya (Social media communities).
• Biashara ya Mtandaoni (E-commerce)

Kama kuna lolote ambalo haujaweza kulielewa vizuri, unaweza uliza kwenye comment. Usisahau kusubscribe.

show more

Share/Embed