HIZI HAPA NJIA 5 KUINUA BIASHARA BILA KUKOPA
Daily News Digital Daily News Digital
224K subscribers
89 views
4

 Published On Premiered Sep 27, 2024

DAR ES SALAAM: Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng'i Issa amesema utaratibu mpya uliowekwa utasaidia kupunguza mikopo chechefu hasa katika halmashauri nchini.

Beng'i amesema hayo leo jijini Dar es Salaam, wakati semina ya wadau wa viwanda iliyoandaliwa na Shirikisho la wenye Viwanda Tanzania (CTI) kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Viwanda yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo:   / spotileo-176.  .
HabariLeo:   / habarileo  
DailyNews:   / dailynewstz  

INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...

TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

show more

Share/Embed