Biskuti hizi zinaenda na bajeti ya kila mtu mahitaji yake yako ndani ya kila nyumba
Mapishi rahisi Mapishi rahisi
505K subscribers
79,795 views
1.2K

 Published On May 4, 2021

mahitaji:
125ml ama 1/2 cup mafuta
mayai 2
1 cup sukari
1/4 cup maji
vanilla 1 tsp
500g ama 4 cups unga
1 tsp baking powder
lini cha yai 1 na vanilla 1/4 tsp

show more

Share/Embed