KABABU za NYAMA | Jinsi ya Kupika KABABU za NYAMA kwa Njia Rahisi
BelsFarm Kitchen Swahili BelsFarm Kitchen Swahili
23.2K subscribers
9,434 views
65

 Published On Apr 25, 2023

Kababu za nyama. Mapishi rahisi ya kababu za nyama. Jifunze jinsi ya kupika kababu za nyama kwa njia rahisi Sana. Mahitaji yake Ni rahisi kwa Kila familia.
MAHITAJI;-
Nyama ya kusaga (500g / nusu kilo)
Chumvi (vijiko 2 vya chai)
Pilipili manga (nusu Kijiko Cha chai)
Manjano (Kijiko 1 Cha chai)
Tangawizi (Kijiko 1 Cha chakula)
Kitunguu swaumu (Kijiko 1 Cha chakula)
Pilipili kali 1
Kitunguu maji (2 vikubwa)
Mafuta ya kupikia (Kijiko 1 Cha chakula)
Viazi vipivyopondwa (2-3)
Mdalasini (Kijiko 1-2 vya chai)
Royco (vijiko 2 vya chakula)
Soy sauce (vijiko 2 vya chakula)
Yai 3
Chenga za mkate (Kikombe 1 Cha chai)
Unga wa ngano

show more

Share/Embed