MATOLEO YA WANA WAKO - Bernard Mukasa || MARIA MORAA MAKORI (Triple M) & QUADRI V || Official Video
Bernard Mukasa Bernard Mukasa
93.2K subscribers
349,385 views
1.8K

 Published On Jan 18, 2023

Matoleo ya wana wako ni wimbo wa matoleo uliotungwa na Bernard Mukasa mwaka 1997 akiwa likizoni katika parokia ya Ifakara jimbo la Mahenge (sasa jimbo la Ifakara).

Katika video hii wimbo huu umeimbwa kwa ushirikiano kati ya Maria Moraa Makori (Triple M) wa jimbo la Mombasa Kenya na familia ya Bwana na Bibi Bernard Mukasa (Quadri V). Waimbaji wengi walioshiriki ni Maria Makori, Vincent Makori, Rosemary Boniphace, Scholastica Mugabi (hayumo pichani), Vince Mukasa, Vivian Mukasa, Vinny Mukasa, Victoria Mukasa, Matilda Sendwa Mukasa, na Bernard Mukasa.
Kinanda kimepigwa na Vinny Mukasa.

Sauti na picha zimerekodiwa na nadhifiwa na studio za Holy Trinity za DSM - Tanzania.
__________________
This song was composed by Bernard Mukasa in 1997 when he went on leave to Ifakara Parish - Mahenge Diocese (now Ifakara Diocese). In this video the song has been performed by Maria Moraa Makori (Triple M) of Mombasa Diocese - Kenya with the family of Mr & Mrs Bernard Mukasa of DSM - Tanzaia (Quadri V). List of performers include Maria Makori, Vincent Makori, Rosemary Boniphace, Scholastica Mugabi (not in the video), Vince Mukasa, Vivian Mukasa, Vinny Mukasa, Victoria Mukasa, Matilda Sendwa Mukasa, and Bernard Mukasa.

The organ was played by Vinny Mukasa.

Audio & Video production by Holy Trinity studios - DSM.

show more

Share/Embed