ANAEDAIWA KUFA NA KUZIKWA APIGA SIMU
COCO MEDIA COCO MEDIA
45.9K subscribers
70 views
0

 Published On Sep 16, 2022

Familia moja katika kijiji cha Gatwikira nchini Kenya imepigwa na Butwaa baada ya ndugu yao aliyedaiwa kufa na kuzikwa kurudi akiwa mzima.
:
Joseph Kiarie (35) aliondoka nyumbani kwao Juni kwenda kufanya kazi Nairobi na mwezi mmoja baadae alipoteza mawasiliano.
:
Familia yake inayoishi Kaunti ya Muranga pata taarifa kuwa mtu anayefanana na Kiarie ameuawa na mwili wake umehifadhiwa.
:
Familia ilifuatilia, ikautambua mwili na ila baadhi yao walikataa kuwa yule siye ndugu yao ila wakamzika.
:
Chakushangaza Miezi miwili baadaye kijana huyo alimpigia simu mama yake na sasa amerudi nyumbani. Hivi sasa Familia inangojea uamuzi wa Mahakama ili iweze kuufukua mwili waliouzika ili uweze kurudishwa unakotakiwa.
Credit:Citizentv

show more

Share/Embed