Chakula maarufu Forodhani
DW Kiswahili DW Kiswahili
180K subscribers
19,808 views
106

 Published On Premiered Jul 27, 2021

Unapofika visiwani Zanzibar maarufu visiwa vya marashi ya karafuu hutokubali kuondoka bila ya kutembelea soko maarufu la vyakula vya baharini la #Forodhani. Fuatana na Yakub Talib katika video hii. #kurunzi 26.07.2021

show more

Share/Embed