KWA NENO LA BWANA KILA KILICHOKUFA LAZIMA KIWE HAI TENA! | Mtumishi JACKSON KALAKI. | TAG-DCC
Doxor Christian Centre(TAG DCC) Doxor Christian Centre(TAG DCC)
436 subscribers
119 views
56

 Published On Apr 16, 2024

Ezekieli 37:1-14
Mkono wa BWANA ulikuwa juu yangu, naye akanichukua nje katika roho ya BWANA, akaniweka chini, katikati ya bonde; nalo limejaa mifupa, akanipitisha karibu nayo pande zote; na tazama, palikuwa na mifupa mingi katika ule uwanda! Nayo, tazama, ilikuwa mikavu sana. ......Nami nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawawekeni katika nchi yenu, nanyi mtajua ya kuwa mimi, BWANA, nimesema hayo, na kuyatimiza, asema BWANA.

Mungu anataka kuyafufua mambo yako yaliyokufa
Sikiliza UJUMBE huu Kwa makini Sauti ya Mungu iliyozungumza na nabii Ezekieli Leo inakujia kupitia mpakwa mafuta huyu kukuletea Habari Hizi za tumaini la Ufufuo wa Mambo yako.

show more

Share/Embed