Dr. Chris Mauki: Mambo 5 ya wanawake yanayo waudhi wanaume
Chris Mauki Chris Mauki
306K subscribers
249,391 views
3.3K

 Published On Premiered Nov 1, 2021

Je uko kwenye mahusiano au ndoa? Una yafahamu mambo ambayo huwaudhi sana wanaume na yamkini huyo wa kwako anakereka sana ila haja kwambia tu. Labda haya mambo ndio chanzo cha mikwaruzano yenu ila hujajua chimbuko lake. Nifuatilie nikudadavulie haya mambo 5 ya wanawake yanayo wakera sana wanaume. Jifunze uokoe mahusiano na ndoa

Mambo 5 ya wanaume yanayo waudhi sana wanawake,    • Dr. Chris Mauki:  Mambo 5 ya wanaume ...  
yako.#DrChris#Wanawake#Wanaume

show more

Share/Embed