Otile Brown - Basi (Official 4k Video) 2016
The Health Village By Dr. Eddie The Health Village By Dr. Eddie
40.7K subscribers
901,110 views
6.7K

 Published On May 20, 2016

New hit single by Otile Brown performing the song Basi. Audio produced and Video directed by Dr. Eddie ©Dreamland Music Entertainment 2016

Lyrics

Verse 1
Nahisi siko sawasawa kunakitu kinakosa
Kumbe leo sijamuona (I wonder if you feel the same way)
Basi naugua na siumwi, chakula kooni hakipiti na silali
Hata kwa dawa za usingizi (I wonder if you feel the same way)

Na macho yangu yanatamani kukuona, nafsi yangu inakukosa sana
Na moyo wangu najawa hofu na uwoga
Mali yangu wasije wakanipora

Na moyoni nakosa Amani sina, fikra zangu zinakwenda mbali kabisa
Ama jiji lishaa ninyang’anya we wangu
Ila niwie radhi kama nakuhukumu vibaya elewa yote kisa
Kisa mama

Chorus
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali chunga usiniumize
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali usiniache nijifie

Maana nakupenda mpaka basi (Ujue *6)
Ujue mama, nakupenda mpaka basi

Verse 2
Penzi langu unanihifadhia, heri ungekuwa sincere
Oh Je unaniwazanga, maana huku nakufikiria
Mi nakupenda kipimo sina, ni bora uwe macho
Usije niletea walosaza

Kukupenda jukumu langu, sheria kuu
Kwenye katiba ya penzi langu
Je uko uliko uko vizuri?
Mbona simu hushiki?
Hivi uko na nani, mnafanya nini? Wasi wasi ninao

Chorus
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali chunga usiniumize
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali usiniache nijifie

Maana nakupenda mpaka basi (Ujue *6)
Ujue mama, nakupenda mpaka basi

Bridge
Waadhi na wasaha ulionipa nazingatia
Ila nawe usije jisahau, ukashawishiwa
Na watanashati na washika dau… ukanisahau
Sije nisusa utaniacha na mengi…

Bana nitalia *8 nitalia mama

Chorus
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali chunga usiniumize
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali usiniache nijifie

Maana nakupenda mpaka basi (Ujue *6)
Ujue mama, nakupenda mpaka basi

show more

Share/Embed