Jinsi ya kupika Biriani ya Nyama | How to make Beef Biriyani
Cooking With Tina Cooking With Tina
89K subscribers
2,978 views
57

 Published On Feb 24, 2019

Katika video hii nitaonyesha jinsi ya kupika biriani kwa njia rahisi. Biryan ni mchanganyiko wa vyakula kama mchele,nyama, na viungo tofauti vya chakula. chakula hiki asili yake ni India na ni kitamu sana na rahisi kuandaa. Biryani inataka kufanana na pilau

show more

Share/Embed