Dodoma Jiji 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 29/09/2024
Azam TV Azam TV
2.76M subscribers
48,465 views
709

 Published On Sep 29, 2024

Goli pekee la mkwaju wa penti kutoka kwa Jean Charles Ahoua limeipa Simba pointi tatu muhimu katika mchezo mkali, uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma.

Hii ni Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague

show more

Share/Embed