Mawaidha ya Othman Maalim wema hauozi | kisa cha kijana aliyevuta bangi
Idh - har online Idh - har online
14.5K subscribers
97,826 views
786

 Published On Premiered Jul 12, 2023

#mawaidha Mawaidha ya sheikh Othman maalim akiizungumzia siku ya qiyama jua litashushwa litakuwa karibu hatutaliweza watu wataadhibika kwa joto siku hiyo lakini kutakuwa na kivuli cha watu ambao ni waja wema. kisa cha kijana aliyevuta bangi.
mawaida ya Sheikh Othman maalim fuatilia mwanzo mwisho uweze kufahamu zaidi usiache kubonyeza kitufe chekundu chenye neno SUBSCRIBE na alama ya kengele Ahsante. #sheikh #othmanmaalim #live

show more

Share/Embed