RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA ALHAJI DANGOTE
Adam Gille Adam Gille
38.5K subscribers
129,576 views
578

 Published On Dec 10, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Desemba 2016, amekutana na kufanya mazungumzo na Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara, Alhaji Aliko Dangote

show more

Share/Embed