FAHAMU NCHI 5 MASIKINI ZAIDI AFRIKA 2024
VOT MEDIA VOT MEDIA
32.8K subscribers
1,298 views
20

 Published On Mar 6, 2024

#FAHAMU
Bara la Afrika linatajwa kuwa maskini zaidi duniani, huku umaskini wa bara hilo ukichangiwa na hali ya uchumi kuyumba, ukosefu wa usalama, ufisadi, vita vya wenyewe kwa wenyewe na vitendo vya kigaidi katika bara hilo.

Shirika la Fedha Duniani IMF limetoa orodha ya mwaka 2024 ya nchi tajiri zaidi na masikini barani Afrika.

Tembelea Youtube channel Yetu ya VOT MEDIA Kuzifahamu nchi hizi.

#makala #fahamuzaidi

show more

Share/Embed