Twae Wangu Uzima (Take My Life and Let It Be) || Breath of Praise
West Kenya Union Conference West Kenya Union Conference
135K subscribers
2,200 views
45

 Published On Jul 12, 2024

1. Twae wangu uzima, Sadaka ya daima;
Twae saa na usiku, Zikutukuze huku.

2. Twae mikono, naye Ifanye Upendayo,
Twae yangu miguu, Kwa wongozi wako tu.

3. Twae sauti yangu, Niimbe kwa Mungu tu;
Itwae na midomo, Ijae neno lako.

4. Twae dhahabu pia Na yote ya dunia;
Twae yangu hekima Upendavyo tumia.

5. Nia itwae, Mungu; Haitakuwa yangu;
Twae moyo ni wako, Uwe makazi yako.

6. Twae mapenzi yangu, Sifa za moyo wangu.
Twae kabisa nafsi, Niwe wako halisi.
#breathofpraise #hymns #adventist

show more

Share/Embed