SILINDE AMSHUKIA MBOWE TUKIO LA KUSHAMBULIWA NA WASIOJULIKANA
Mwananchi Digital Mwananchi Digital
1.02M subscribers
189,116 views
706

 Published On Jun 9, 2020

Mbunge wa Momba, David Silinde akizungumza bungeni kuhusu tukio la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kudai kushambuliwa na watu wasiojulikana jijini Dodoma usiku wa kuakia leo

show more

Share/Embed