Jinsi Ya Kutengeneza Garam Masala Ya Biriyani | Pilau Masala | Masala Ya Sambusa | Kababu | Katlesi
Swahili SpicE Swahili SpicE
20.1K subscribers
10,890 views
78

 Published On May 9, 2019

Jinsi Ya Kutengeneza Garam Masala Ya Biriyani | Pilau Masala | Masala Ya Sambusa | Kababu | Katlesi

Mkate wa ufuta mlaini bila ya kupiga unga:    • Mkate Wa Ufuta Mlaini Bila Ya Kupiga ...  

Jinsi ya kupika vitumbua laini bila ya kuroeka mchele usiku kucha:    • Jinsi Ya Kupika Vitumbua Laini Bila Y...  

Hapa kutazama mapishi ya chapati laini bila ya kukanda unga:    • Jinsi Ya Kupika Chapati Laini za Kusu...  

Mchuzi wa kamba (prawns) na karanga (peanut butter) -    • Mchuzi Wa Kamba (Prawns) Na Karanga (...  

**English video here:    • How to Make Biryani Masala at Home | ...   **

Mahitaji (Mimi hua sipimi, kwahio unaweza kuzidisha au kuongeza unavyotaka):
30g/ 1oz/ 4.5 vijiko vya kulia - bizari nzima
27g/ 1oz - Dalasini
12g/ 0.4oz/ 1.5 vijiko vya kulia - pilipili manga
Iliki 11
Karafuu 11

Vifaa nnavo tumia kupiga video:
Camera - https://amzn.to/3Ny8IkE
Lense 1 - https://amzn.to/3y0nWcC
Lense 2 - https://amzn.to/3NwPFaC
Taa - https://amzn.to/3OArhpZ
Vifaa vya taa - https://amzn.to/3OAg9t3
Heavy duty stand - https://amzn.to/3I747VQ
Tripod - https://amzn.to/3OVtpbl
Mic - https://amzn.to/3OAxbam

Mziki:
LAKEY INSPIRED - The Process:    • LAKEY INSPIRED - The Process  

Contact: [email protected]

show more

Share/Embed