Kabla ya Adui kuua Uchumi wako anakuvua kwanza "VAZI" |MWL EMILIAN KATUBAYEMO
KKKT KARIAKOO KKKT KARIAKOO
18.3K subscribers
4,010 views
49

 Published On Jun 20, 2022

Mwanzo 27:15 Kisha Rebeka akatwaa mavazi bora ya Esau, mwanawe mkubwa, aliyokuwa nayo nyumbani, akamvika Yakobo, mwanawe mdogo.

Maji hufuata mkondo, Kuna uhusiano mkubwa sana kati VAZI( kiroho) na mafanikio ya Kiuchumi.
Mtoto wa Mchungaji akitaka kuwa Mchungaji haitaji juhudi kubwa sana vilevile mwanasiasa mtoto wake ni rahisi sana kuwa Mwanasiasa..
..Yakobo alivalia kama Esau na kuleta chakula kwa baba yake. Isaka alimpa Yakobo baraka ya haki ya mzaliwa wa kwanza.
Mwanzo 27:28 (BHN)
..Mungu akumiminie umande wa mbinguni; akupe ardhi yenye rutuba, nafaka na divai kwa wingi.

Mwanzo 27:29 (BHN)
Jamii za watu zikutumikie, na mataifa yakuinamie kwa heshima. Uwe mtawala wa ndugu zako, watoto wa kiume wa mama yako wakuinamie kwa heshima. Kila akulaaniye na alaaniwe, kila akubarikiye na abarikiwe!”
~-~~-~~~-~~-~-
UNAWEZA KUMTOLEA MUNGU SADAKA YAKO KWA NAMBA ZIFUATAZO
M-PESA 0764571977, Maendeleo Bank ACCOUNT NO. 013795436021.
~-~~-~~~-~~-~-
#KKKKTKARIAKOOTHENIGHTOFGLORY
#KKKTKARIAKOOMORNINGGLORY
#KKKTKARIAKOOSUNDAYLIVE
#KKKTKARIAKOOMKESHAUKOMBOZIMWANAMKE
#JOASH AILA
#KKKTKARIAKOOPRAISETEAM
~-~~-~~~-~~-~-
Kwa mlio mbali karibu Subscribe ili tuungane pamoja kupitia Youtube Channel yetu (KKKT KARIAKOO) katika ibada zetu zote LIVE. Pia waweza kufuatilia mafundisho mafupi mafupi kupitia
~-~~-~~~-~~-~
Instagram @lutheran_kariakoo,
Face book @Lutheran Kariakoo
Tiktok@kkktkariakoo
~-~~-~~~-~~-~

show more

Share/Embed