MILLARD AYO AFIKA KWENYE JUMBA LA BILIONEA MULOKOZI "SIO YA NDOTO ZANGU, ANAKUJA KUKAA MFANYAKAZI"
Millard Ayo Millard Ayo
5.2M subscribers
487,366 views
5.1K

 Published On Premiered Feb 8, 2024

EPISODE ONE: Wengi waliniandikia wakitaka kuliona Jumba hili bila kupitishwa harakaharaka tofauti na video nyingi mitandaoni zilivyolionesha, nikwambie tu nimefika hapa na nimehakikisha napita kila kona...

Ni nyumba yenye hadhi ya Presidental ambayo wengi wanaweza kufikiri ndio nyumba ya ndoto zake lakini hapana, mwenyewe anasema hii nyumba ameijenga kwa ajili ya Mfanyakazi wake.

Hii ni episode ya kwanza tu ya kukuonesha jumba lenyewe, episode ya pili ni mahojiano maalum na Mulokozi kujua alikoanzia hadi alipofikia, fanya kubonyeza subscribe kwenye Youtube ya millardayo kujionea yajayo yanayofurahisha.

show more

Share/Embed