AMUUA MPENZI WAKE NA KUTUPA VIUNGO
Geah Habibu Geah Habibu
369K subscribers
4,383 views
36

 Published On Aug 24, 2024

Jeshi la Polisi linamshikilia Abdalla Miraji Mussa (42) mkazi wa Sinza kwa Remmy, Dar es Salaam kwa tuhuma za kumuua mwanamke aitwaye Ezania Kamana Mkazi wa Tandika Maghorofani Temeke ambaye anadaiwa kuwa mpenzi wake.

Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kuwa Agosti 22,2024 zilipokelewa taarifa kuwa katika eneo la Silversand barabara ya mtaa wa Freedom Kunduchi kumeonekana mifuko ambayo ina viungo ambavyo vinadhaniwa ni vya binadamu na baada ya uchunguzi walikuta viungo vya binadamu ambavyo ni paja moja, vipande vya mikono miwili, eneo la kifua, kalio, matumbo na nguo.

show more

Share/Embed