ROHO MTAKATIFU NA MAPINDUZI YA MAMBO _ PASTOR EMMANUEL MABULA_ TAG DCC NGH'ONG'ONHA
Doxor Christian Centre(TAG DCC) Doxor Christian Centre(TAG DCC)
436 subscribers
190 views
20

 Published On May 14, 2024

Roho Mtakatifu ni Mungu kamili ,
yupo mahali pote, Anajua yote, yupo wakati wote.
(omniscience, omnipotent, omnipresent)
Anapokuwa ndani yako anaweza kukufanya yote ambayo kwako ni magumu.
Kuna maswali bado unajiuliza na hupati makini ni kwasababu haujamruhusu Roho mtakatifu na kuitambua sauti yake ndani yako.
Leo Roho mtakatifu mpindua mambo anakiu ya kuingia ndani yako Ili abadili maisha yako , ayafanye yaliyoshindikana ,yawezekane.
.Karibu Kufuatilia video hii mpaka mwisho ,upo msaada wa kiMungu kupitia Mtumishi WA Mungu Mchungaji #E.Mabula

#sundayservice #Rohomtakatifu
#TAG #DCC

show more

Share/Embed